NSSF YATAKATA KWA UWEKEZAJI, YAING'ARISHA KILIMANJARO

JENGO LA KISASA LA KITEGA UCHUMI LA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF) LILILOJENGWA KATIKA MTAA WA AGA KHAN MJINI MOSHI NA KUWA MOJA YA VIVUTIO VYA MJI HUO
RAIS JAKAYA KIKWETE AKISALIMIANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF, DKT. RAMADHAN DAU ALIPOFIKA MJINI MOSHI KWA AJILI YA KUKATA UTEPE KUZINDUA JENGO HILO.
MENEJA MIRADI WA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF), MHANDISI JOHN MSEMO (MBELE), AKIWAONGOZA BAADHI YA WAJUMBE WA BODI YA WADHAMINI WA SHIRIKA HILO NA MAOFISA WA NSSF KUANGALIA SEHEMU MBALIMBALI NDANI YA JENGO HILO.
MHANDISI JOHN MSEMO (WA TATU KUSHOTO), AKIMUONYESHA MKURUGENZI MKUU WA NSSF, DKT. RAMADHAN DAU, JINSI JENGO HILO LITAKAVYOTUMIKA WAKATI WAKIMSUBIRI RAIS KIKWETE KULIZINDUA.
"MILANGO YOTE INATUMIA UMEME, HIVYO INAFUNGUKA KWA KUTUMIA UMEME", NDIVYO ANAVYOELEZA MHANDISI JOHN MSEMO WAKATI AKIFAFANUA JAMBO KUHUSU JENGO HILO.
MKURUGENZI MKUU WA NSSF, DKT. RAMADHAN DAU AKIWA MWENYE BASHASHA WAKATI AKIWASALIMIA BAADHI YA WANANCHI WALIOFIKA KWENYE UZINDUZI WA JENGO LA KISASA LA KITEGA UCHUMI MJINI MOSHI.
DKT. RAMADHAN DAU (WA PILI KUSHOTO), AKISIKILIZA KWA MAKINI MAELEZO YA MHANDISI JOHN MSEMO,
HIZI NI NGAZI ZINAZOTUMIA LIFTI ZA KISASA ZILIZOMO NDANI YA JENGO HILI
MHANDISI MSEMO (KUSHOTO), AKIPONGEZANA NA BW. ABDALAH MSELI BAADA YA RAIS KUZINDUA JENGO HILO
RAIS JAKAYA KIKWETE, WAZIRI WA KAZI, BI. GAUDENTHIA KABAKA, MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, LEONIDAS GAMA NA MKURUGENZI MKUU WA NSS WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BAADHI YA MAOFISA WA NSSF WALIOFANIKISHA UJENZI WA JENGO HILO.
NSSF INAJENGA MAISHA YAKO YA SASA NA BAADAE. TUJIUNGE NA SHIRIKA HILI.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru