Rais Jakaya Kikwete akiongozwa na viongozi wa Kata ya Chalinze tembelea baadhi ya nyumba zilizoathiriwa na mvua za upepo, kijijini kwake Msoga, mkoani Pwani.
Rais
Jakaya Kikwete, Mkewe Mama Salma na baadhi ya viongozi wa Kata ya Chalinze, wakizungumza na waathirika wa mvua zilizosababisha
kaya zaidi ya 40 kukosa makazi, katika vijiji vya Msoga na Tonga, Chalinze, Wilayani
Bagamoyo.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na waathirika wa mvua zilizosababisha kaya 40 kukosa makazi, katika vijiji vya Msoga na Tonga, Chalinze, Wilayani Bagamoyo.
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete, akisalimiana na mmoja wa waathirika wa mvua zilizosababisha
kaya zaidi ya 40 kukosa makazi, kukosa pa kuishi katika Vijiji vya Msoga na Tonga, Chalinze, Wilayani
Bagamoyo.
Comments
Post a Comment