Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, February 14, 2015

WARIOBA ATINGA KARUME KWA MAJARIBIO YA VIPAJI VYA NSSF


MWANAFUNZI WA DARASA LA SITA HIGHMAUNT ILIYOKO GONGO LA MBOTO, WARIOBA NYAKASAGANI AKIWA NA FOMU YAKE MKONONI BAADA YA KUSAJILIWA VIWANJA VYA KARUME, DAR ES SALAAM JANA KWA AJILI YA MAJARIBIO


WARIOBA AKIWA NA OFISA UHUSIANO WA NSSF SALIM KIMARO BAADA YA KUJAZA FOMU NA KUSAJILIWA RASMI KWA AJILI YA MAJARIBIO.


WARIOBA AKIWA NA OFISA WA NSSF, AMANI MARCEL


MKURUGENZI UENDESHAJI SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF), CRESENTIUS MAGORI AKIWA NA MAAFISA WA SHIRIKA HILO WAKIFUATILIA KWA MAKINI MCHAKATO WA KUSAJILI WATOTO WATAKAOJIUNGA NA KITUO HICHO

No comments:

Post a Comment