TBL YAWASAIDIA WANANCHI WA MAGOZA KUPATA MAJI

Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, Luteni Mstaafu Abdallah Kihato (wa pili kulia), akipokea Hundi ya Sh. Milioni 56 kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kusini, Victor Kavishe (wa pili kushoto) kwa ajili ya mradi wa maji katika Kijiji cha Magoza, Kata ya Kiparang'anda. Kushoto ni Meneja Mahusiano wa TBL, Bi. Emma Urio na Diwani wa Kata hiyo, Bi. KAru Karapina. 
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Kusini, Victor Kavishe (wa pili kushoto, akimkabidhi Luteni Mstaafu Abdallah Kihato, Hundi ya Sh. Milioni 56 zilizotolewa na Kampuni hiyo kwa ajili ya mradi wa Maji katika Kijiji cha Magoza. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa TBL, Bi. Emma Urio na Diwani wa Kata hiyo, Bi. Karu Karavina
Mkuu wa Wilaya Luteni Mstaafu Abdallah Kihato akikabidhi hundi ya Sh. Milioni 56 zilizotolewa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa Mkandarasi, Mkurugenzi wa Kampuni ya GCL, Bw. Gerald Mosha (kushoto), za ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Magoza.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Emma Urio akizungumza na wananchi wa Magoza, kabla ya kampuni hiyo kukabidhi hundi ya Sh. milioni 56 za mradi wa maji.
 Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL. Bi. Doris Malulu (kulia) akiungana na akina mama wa Kijiji cha Magoza kuomba dua.
Mkurugenzi wa Kampuni ya GCL, Bw. Gerald Mosha (kushoto) akiomba dua pamoja na wananchi wa Kijiji cha Magoza kwa ajili ya kufanikisha mradi wa maji.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Emma Urio akizungumza na wananchi wa Magoza, kabla ya kampuni hiyo kukabidhi sh. milioni 56 za mradi wa maji.
Diwani wa Kata ya Kiparang'anda Bi. Karu Karapina akikabidhi zawadi mbalimbali zilizotolewa na wananchi wa Magoza kwa ajili ya TBL.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU