BENK M YAANZA MWAKA KWA KISHINDO

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benk M Tanzania, Bi Jacguline Woiso, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu kuongezeka kwa rasilimali za Benki hiyo kutoka sh. Bilion 689 2014 hadi sh. Bilion 728. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki hiyo, Bw. Allan Msailiwa.

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benk M Tanzania, Bi Jacguline Woiso (kushoto), akimsikiliza kwa makini mwandishi wa habari wa Citizen, Felix Lazaro, alipozungumza naye kuhusu mafanikio ya benki hiyo yaliyotokana na ufanisi mkubwa pamoja na kutoa mikopo nafuu kwa wateja.

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benk M Tanzania, Bi Jacguline Woiso akifafanua jambo alipoongea na waandishi wa habari, wakati akijibu maswali aliyoulizwa, Dar es Salaam leo.
 Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru