NSSF WATINGA Z'BAR KWA MICHEZO YA PASAKA

 Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Juma Kintu, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kabla ya kupanda Meli kuelekea Visiwani Zanzibar kwa ajili ya michezo ya PasakaNahodha wa timu ya Netiboli ya NSSF, Pili Mogela akizungumza na vyombo vya habari Dar es Salaam leo kueleza jinsi walivyojiandaa kuwakabili wenzao wa ZSSFWacheza Netiboli wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja tayari kuelekea Bandarini Dar es Salaam kuwakabili ZSSF wakati wa sherehe za Pasaka.


Juma Kintu na Linus wakielekea kupanda gari kwa ajili ya safari ya Zanzibar


Wachezaji wa Soka na Netiboli wa NSSF wakiwa Bandarini kwa ajili ya safariWachezaji wakielekea Melini kwa ajili ya safari ya michezo ya Pasaka Zanzibar

 Dominic Mbwete na wachezaji wenzake wakielekea Melini leo
 Patrick Gandye na wachezaji wenzake wa NSSF wakielekea Melini leo 

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Juma Kintu, akiwa mstari kwa ajili ya kukaguliwa na kuingia Melini leo.
Kocha Mkuu wa timu ya Soka ya NSSF, Sanifu Lazaro na Nahodha wa timu hiyo Mzee Mfaume wakielekea kwenye ukaguzi kabla ya kuingia Melini leo.
Wachezaji wa Soka na Netiboli wakiwa kwenye mstari kwa ajili ya kukaguliwa
Wachezaji wa timu ya Soka ya NSSF wakitambiana kabla ya kuelekea Zanzibar
Dominic Mbwete akiwapiga picha watoto wake kabla ya safari ya Zanzibar

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru