NSSF YAWATAMBIA ZSSF KWAOKaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), Makame Mwadini akikabidhi Kombe la Ubingwa wa Bonaza la Pasaka kwa Nahodha wa timu ya Soka ya NSSF Tanzania Bara, Mzee Mwinyi, baada ya kuwafunga ZSSF kwa peneti 4-3 kwenye Uwanja wa Aman Visiwani Zanzibar. Kushoto ni Kamu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Chiku Matesa.Wachezaji na Viongzi wa timu ya Soka ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakishangilia baada ya kutwaa kombe kwa kuwafunga wapinzani wao jadi ZSSF kwa mikwaju ya penati 4-3 na kutwaa kombe la Bonanza la Pasaka 2015 kwenye uwanja wa Aman, Visiwani Zanzibar

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru