WARIOBA AFANYA MAAJABU KARUME

Warioba Nyakasagani (kushoto) akiwa na wachezaji wenzake wakati wakisubiri kuingia uwanjani kwa ajili ya majaribio ya kucheza soka kuwania nafasi za kujiunga na kituo cha michezo cha NSSF/ REAL MADRID SPORTS ACADEMY
 Warioba Nyakasagani na wenzake wakiwaangalia wachezaji wenzao walioanza kucheza soka kwa ajili ya majaribio ya kujiunga na kituo cha NSSF/ REAL MADRID SPORTS ACADEMY, kwenye viwanja vya Karume, Dar es Salaam
Warioba Nyakasagani (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wenzake muda mfupi kabla ya kuingia uwanjani kusakata soka 
Warioba mwenye namba 472 akiingia uwanjani kwa ajili ya kufanya majaribio ya kujiunga na kituo hicho huku mvua kubwa zikinyesha

Warioba na wenzake wakipumziko baada ya kucheza soka kwa dakika 20 
Warioba na wachezaji wenzake waliovaa jezi za blue wakiwa na wapinzani wao jezi za pinki wakati wa mapumziko kabla ya kurudi tena uwanjani 
Warioba akifanya vitu vyake, hapa akimiliki mpira huku akitafuta mbinu za kumtoka mlinzi wa timu pinzani wakati wakicheza kwa majaribio ya NSSF/ MADRID SPORTS ACADEMY kwenye viwanja vya Karume, Dar es Salaam
Warioba baada ya kufanikiwa kumtoka mlinzi wa timu pinzani aliachia kombora langoni kwa wapinzani. Hata hivyo mvua zilizokuwa zikinyesha ziliwafanya watoto hao wasicheze vizuri kutokana na maji kujaa uwanjani.
 Warioba akiumiliki mpira wakati akielekea kwenye lango la wapinzani 
 Hapa Warioba anapiga hesabu jinsi ya kumtoka mlinzi wa timu pinzani.
 Warioba akiwa na mpira anajaribu kumsogelea adui 
 Warioba (kulia), anajaribu kumhandaa mlinzi wa timu pinzani. 
 Warioba anakutana na beki wa timu pinzani uso kwa uso.
 Warioba huyo amefanikiwa kumtoka mlinzi wa timu pinzani.
Warioba huyo anaelekea kwenye lango la adui.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru