Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, April 10, 2015

YANGA KUFUNGWA NA SIMBA NI HOFU AMA HUJUMA


MASHABIKI WA YANGA WAKIWA HAWAAMINI KILICHOTOKEA UWANJA WA TAIFA BAADA TIMU YAO KUFUNGWA NA SIMBA BAO 1-0.
MASHABIKI WA SIMBA WAKISHANGILIA KWA NGUVU BAO LILILOFUNGWA NA MSHAMBULIAJI WAO RAIA WA UGANDA,EMMANUEL OKWI
MASHABIKI WA YANGA WAKIWATAMBIA WA SIMBA KABLA YA MCHEZO
 MASHABIKIWA SIMBA WAKIONYESHA SANAMU YA MNYAMA SIMBA
 KOCHA MKUU WA YANGA AKIWA HAAMINI KILICHOTOKEA UWANJANI
 KOCHA WA SIMBA AKISHANGILIA BAADA YA VIJANA WAKE KUPATA BAO
WACHEZAJI WA YANGA NA SIMBA WAKIMWANGALIA KIPA WA SIMBA, IVO MAPUNDA ALIYEUMIA NA KULALA. NI BAADA YA TIMU YAKE KUPATA BAO
KIPA WA SIMBA, IVO MAPUNDA AKILIWEKA VIZURI TAULO LAKE KARIBU NA LANGO KWA AJILI YA KUWAJENGEA HOFU WACHEZAJI WA YANGA.
MAKOCHA WA YANGA (KUSHOTO) NA WA SIMBA WAKISALIMIANA KABLA YA VIJANA WAO KUSHUKA DIMBANI. SIMBA WALISHINDA 1-0.
BOSI WA YANGA, YUSUF MANJI AKITOKA UWANJA WA TAIFA HUKU AKIDONDOSHA MACHOZI BAADA YA TIMU YAKE KUFUNGWA BAO 1-0 NA SIMBA

No comments:

Post a Comment