Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, March 25, 2016

MKURUGENZI MKUU MPYA NSSF AKAGUA MRADI WA UJENZI DARAJA LA KIGAMBONI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mkuu Mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Profesa Gadius Kuhyarara (kulia), akishikana mikono na Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji Miradi wa NSSF, Bw. Yacub Kidula, alipotembelea mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mkuu Mpya wa SHirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF, Profesa Gadius Kuhyarara, (kushoto) akisalimia na wataalamu wa ujenzi wa daraja la Kigamboni, Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji Miradi wa NSSF, Bw. Yacub Kidula, akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu mpya wa NSSF mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment