Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, March 31, 2016

WABUNGE WATATU WAFIKISHWA MAHAKAMANI

Wabunge watatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani kutoka kushoto, Kangi Lugola (Mwibala), Sadiq Murad (Mvomero) na Victor Mwambalaswa (Lupa) wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo, wakituhumiwa kuomba rushwa ya sh. milioni 30


No comments:

Post a Comment