Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, April 11, 2016

FAGIO LA MAGUFULI LAMPITIA ANNE KILANGO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, leo ametengua Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Bi. Anne Kilango Malecela (pichani), baada ya kubaini kuwa amemdanganya kuhusu kuwepo kwa watumishi hewa mkoani Shinyanga. Rais amesema amemuondoa Mkuu huyo wa mkoa baada ya kumdanganya

Taarifa iliyotolewa Dar es Sakaan jana imeeleza kuwa Mkuu huyo wa mkoa, alitoa taarifa zisizo za kweli kwa Rais Magufuli kuwa Shinyanga hakuna wafanyakazi hewa, jambo ambalo limemuudhi rais na kuamua kuchukua hatua ya kumfukuza kazi.

No comments:

Post a Comment