BILION SITA ZA RAIS MAGUFULI KUJENGA MADAWATI

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akionesha mfano wa hundi ya shilingi Bilioni sita aliyokabidhiwa na Ofisi ya Bunge leo Ikulu, Jijini Dar es Salaam ambapo ameelekeza fedha hizo zitumike kutengeneza madawati ya shule za nchini. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson. 

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru