MZEE NASORO ANAMILIKI BUNDUKI YA SHILINGI MIA

Unaweza kusema hii ni hadithi kutoka katika kitabu cha Abunuwasi, la hasha hii si hadithi, ni habari ya kweli kabisa, inayosimuliwa na Mzee Nasoro Rashid (pichani), mkaazi wa Ikwiriri, Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani, ambaye anajilinda kwa bunduki yake aina ya Rifle (Gobole), aliyoinunua kwa shilingi mia moja tu mwaka 1965. Ni miongoni mwa wazee walioitikia agizo la Rais John Pombe Magufuli kwa vitendo,  alipowataka wamiliki wa silaha kuhakiki silaha zao.
 Mzee Nasoro akionyesha kibali cha kumiliki silaha cha mwaka 1965,

 Mzee Nasoro akionyesha silaha yake kwa mwandishi mkongwe nchini, Peter Ambilikile (kulia)

Hiki ndicho kibali kinachomruhusu Mzee Nasoro kumiliki silaha yake aliyoinunua mwaka 1965 kwa shilingi mia moja tu. Huko Utete, Rufiji.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU