Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, May 10, 2016

KIKWETE ATINGA DARAJA LA NYERERE, AVUTIWA.

 Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete (mwenye miwani na suti nyeusi kushoto) na mkewe Salma (rangi ya njano), wakiangalia sehemu ya daraja la kisasa la Julius Nyerere, walipofanya ziara leo.
 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akionyesha baadhi ya sehemu zilizomvutia alipofanya ziara kwenye daraja la Nyerere, lililoko Kigamboni, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam leo.
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akimuonyesha Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto), sehemu mbalimbali za daraja la Nyerere. Kulia ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.
 Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akiangalia sehemu ya kulipia gharama za kupita kwenye daraja la Nyerere

No comments:

Post a Comment