Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, June 6, 2016

BENKI M YAIWEZESHA AMCHAM KUANDAA DARAJA LA MAFANIKIO TANZANIA

Naibu Mtendaji Mkuu wa Benki M, Bi Jacqueline Woiso (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati wa kusaini makubaliano na Kampuni ya AMCHAM waandaaji wa daraja la mafanikio. Wengine ni wajumbe wa Bodi, Gadi Faraji, Amit Patel na Meneja Mradi, Richard Milles (kulia)


Baadhi ya waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya wa habari, wakimsikiliza Naibu Mtendaji Mkuu wa Benki M, Bi Jacqueline Woiso.
Naibu Mtendaji Mkuu wa Benki M, Bi Jacqueline Woiso na Mjumbe wa Bodi, Gadi Faraji, wakisani hati za makubaliano leo

Wakibadilishana hati za makubaliano leoNo comments:

Post a Comment