MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA AFUNGA MAFUNZO YA ZIMAMOTO

  Katibu Mkuu Wilzara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Projest Rwegasira, akikagua gwarinde lililoandaliwa kwa ajili yake na askari wa kikosi cha Zimamoto na ukoaji, baada ya kufunga mafunzo ya uongozi daraja la pili.
  Katibu Mkuu Wilzara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Projest Rwegasira (kushoto), akikabidhi cheti kwa mmoja wa askari waliohitimu kozi ya uongozi daraja la pili, mkoani Tanga
 Katibu Mkuu Wilzara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Projest Rwegasira (kushoto), akimvisha nyota mmoja wa askari 156 waliohitimu, wakati wa mahafari ya kufunga mafunzo ya askari wa Zimamoto na Uokoaji, katika Chuo cha Mafunzo ya Jeshi hilo, Chogo, Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga.
 Wahitimu wa Kozi ya Uongozi daraja la pili wakipita mbele ya mgeni rasmi kwa ajili ya kutoa heshima, baada ya kuhitimu mafunzo ya uongozi.
Katibu Mkuu Wizara ya Mamboy ya Ndani, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakati Mahafari ya kufunga mafunzo ya Uongozi daraja la pili, katika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji kilichoko, Chogo, Wilayani Handeni, Tanga

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru