Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Friday, September 2, 2016

IKWIRIRI WAFUNDISHWA KUFUGA NYUKI WASIOUMA

  Mshiriki wa mafunzo ya ufugaji wa nyuki wasiouma, Emmanuel (mwenye shoka), akipasua gogo lenye viota vya nyuki mbele ya washiriki wa mafunzo ya kufuga nyuki.

Wananchi wa Ikwiriri, mkoani Pwani wakionyeshwa baadhi ya viota cha nyuki wasiouma, wakati wa mafunzo ya ufugaji nyuki. 
 Wananchi wakionyeshwa viota vya nyuki wasiouma
 
Wananchi wa Ikwiriri, mkoani Pwani wakipata mafunzo ya kufuga nyuki wasiouma. (PICHA ZOTE NA SEIF NONGWA IKWIRIRI)

No comments:

Post a Comment