Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, September 15, 2016

WAHITMU STD SABA RUFIJI WAASWA KUJILINDA

 . Picha juu na chini. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Umwe, iliyoko Ikwiriri, Rufiji, mkoani Pwani, Bw. Joshua Ndondole (aliyesimama), akizungumza na wanafunzi wa shule hiyo, waliohitmu elimu ya msingi hivi karibuni, wakati akiwahusia jinsi ya kujilinda wakati wakisubiri matokeo.

 Mzee Shamte Mmipi (kulia), akimuusia mwanae Hawa Mmipi, kuishi kijijini hapo kwa kujilinda na vishawishi wakati akisubiri matokea, akimweleza kuwa kumal;iza darasa la saba ndiyo mwanzo wa safari ndefu ya elimu. Amemuasa aache makundi. 


1 comment: