Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, October 25, 2016

MFALME WA MOROCCO MOHAMED VI YUKO DAR

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli na mgeni wake Mfalme Mohamed VI wa Morocco wakipitambele ya kikosi cha mapokezi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Ikulu Dar es Salaam.

 Rais Magufuli na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakipata mapokezi baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Ikulu Dar es Salaam baada ya kuwasili.
 Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI (kushoto) akipunga mkono baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Ikulu akiwa na mwenyeji wake Rais Magufuli.


  Rais Magufuli akipiga ngoma huku mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI akimwangalia baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais Magufuli akiangalia Taswira ya Kinyago alichomkabidhi mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

"Karibu sana Mfalme Mohamed VI". Rais Magufuli akimkaribisha Ikulu.

No comments:

Post a Comment