TAARIFA KWA WASOMAJI WETU

WAPENDWA WASOMAJI, WAKATI HADITHI YA NOTI BANDIA IKIELEKEA UKINGONI, TUNA MISWADA MITATU KWA AJILI YENU, KIKOSI CHA KISASI, KUFA NA KUPONA NA KIKOMO. UKIWA MDAU WA MPIGANAJI, TUANDIKIE MAONI TUANZE NA MSWADA GANI. UNAWEZA KUTUMA KWA EMAIL mnyakasagani@gmail.com AU UJUMBE MFUPI WA MANENO KWENDA 0784296253, 0754296253. MPIGANAJI

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru