RIPOTI YA UTAFITI WA AFYA YA MZAZI, MTOTO NA VIASHIRIA VYA MALARIA YAZINDULIWA DAR

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Ummy Mwalimu akizungumza na wadau mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Matokeo ya Utafiti wa Afya ya Mzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2015-16 jijini Dar es Salaam
 Waziri wa Afya, Dkt. Ummy Mwalimu akizindua Matokeo ya Utafiti wa Afya ya Mzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2015-16 Jijini  Dar es Salaam
 Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akizungumza na wadau mbalimbali wakati Waziri wa Afya Dkt. Ummy Mwalimu aalizindua Matokeo ya Utafiti wa Afya ya Mzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2015-16 Tanzania jijini Dar es Salaam
 Meneja wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Bi. Sylivia Meku akielezea kwa wadau wa afya Matokeo ya Utafiti wa Afya ya Mzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2015-16 Tanzania jijini Dar es Salaam
 Waziri wa Afya, Dkt. Ummy Mwalimu akiteta na Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (kulia) kabla ya uzinduzi wa Matokeo ya Utafiti wa Afya ya Mzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2015-16 Tanzania jijini Dar es Salaam. Katikati ni  Kaimu Katibu Mkuu  Wizara ya Afya, Dkt. Mohamed Ally
Waziri wa Afya, akiwa katika picha ya pamoja wadau mbalimbali wa Takwimu na Afya katika uzinduzi wa Matokeo ya Utafiti wa Afya ya Mzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2015-16 Tanzania jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA BENJAMIN SAWE - MAELEZO)

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru