WAZIRI WA AFYA AZINDUA MPANGO KAZI WA TAIFA KUTOKOMEZA UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii. Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu, akizungumza na wadau (hawapo pichani), kabla ya kuzindua Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili kwa Wanawake na Watoto, Dar es Salaam leo
 Waziri wa  Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza kabla ya Waziri wa Afya kuzinduzia Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto  jijini Dar es Salaam leo
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza kabla ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto  jijini Dar es Salaam 
 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura akiongea na  wadau kabla ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto Dar es Salaam leo 
 Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez akizungumza kabla ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto  jijini Dar es Salaam leo 
 Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Joakim Mhagama akiongea kabla ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii. Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) na Mawaziri wengine wakionesha kwa wadau  Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili kwa Wanawake na Watoto uliozinduliwa Dar es Salaam leo
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii. Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) akimkabidhi nakala ya Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto kwa Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Injinia Stella Manyanya baada ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto
Naibu Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura (Kulia) akiteta Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Injinia Stella Manyanya baada ya uzinduzi wa Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili kwa Wanawake na Watoto. (PICHA ZOTE NA BENJAMIN SAWE WA MAELEZO)

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru