Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, January 25, 2017

RAIS MAGUFULI AZINDUA AWAMU YA KWANZA YA MIUNDOMBINU YA MABASI YAENDAYO HARAKA

 Rais John Pombe Magufuli na Makamu Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, Makhtar Diop (kulia) wakivuta kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam leo. Wengine katika picha ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene.
 Rais John Pombe Magufuli akiweka kadi ya Kieletroniki katika mashine ya UDATS zinazotumika kupitisha abiria wakati wa kuingia ndani ya basi la haraka. Anayemwelekeza ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene.
 Rais John Pombe Magufuli na Makamu Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, Makhtar Diop, pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali wakikata utepe kuashiria uzindua rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na utoaji wa huduma ya mabasi yaendayo haraka.
 Rais John Pombe Mag\\ufuli akipita kwenye mashine maalumu za kupitisha abiria baada ya kuweka kadi yake. 
Hapa ameingia ndani baada ya kuruhusiwa.

No comments:

Post a Comment