SERIKALI KUKAGUA MIRADI YA UJENZI NCHINI

 Kaimu Mkuu wa Idara ya Miradi ya Ujenzi Mhandisi Wambura akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu ukaguzi wa kitaalam wa miradi ya ujenzi nchini, alipokutana nao Jijini Dar es Salaam leo.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Majengo kutoka Baraza la Taifa la Ujenzi Mhandisi Kissamo Fredrick akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo kuhusu mafanikio ya Baraza hilo katika utekelezaji wa jukumu la kufanya ukaguzi wa ufundi. (PICHA ZOTE NA BENJAMIN SAWE - MAELEZO)

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru