Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, February 14, 2017

GAVANA JIMBO LA KATANGA ATETA NA WANAHABARI

 Gavana wa Jimbo la Katanga, kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Jean Claude Kazembe, akizungumza na Waandishi wa Habari Dar es Salaam leo baada ya kutembelea Bandari ya Dar es Salaam na kueleza kuridhishwa na utendaji kazi wake. Kulia ni Nzita Banyama.
Gavana wa Jimbo la Katanga, kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Jean Claude Kazembe (wa pili kushoto), akizungumza na waandishi wa habari, alipokutana nao kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment