WANAMARA WAKUTANA DAR KUJENGA UMOJA WAO

 Baadhi ya wananchi kutoka Mkoa wa Mara waishio Jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye mkutano maalumu wa kujenga Umoja wao, walipokutana Dar es Salaam hivi karibuni.
 Brigedia Jenerali Mstaafu Ryakitimbo Magige Ryakitimbo, akizungumza wakati wa kikao maalumu cha kujadili Umoja wa Wananchi wa Mkoa wa Mara waishio Dar es Salaam. 
 Mfanyabiashara Maarufu wa Jijini Dar es Salaam, Selemani Keraba akitoa maonhoni yake wakati wa kuchangia mawazo ya kufanikisha Umoja wa watu wa Mara.
Mwanachama Mkongwe wa Chama cha Wananchi wa Mkoa wa Mara kiitwacho Mara Twibuche Amacha (M.T.A). Bw. Kinyami Mwitazi akichangia mada. 
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, Issack Kabugu (wa pili kulia), akisalimiana na baadhi ya wanamara, baada ya kuwasili kwenye kikao kilichofanyika Green Pub Vingunguti.
 Mzee Maarufu kutoka Mkoani Mara, James Malwelwe (wa pili kulia), akishikana mikono na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, Issack Kabugu.
  Mzee James Malwelwe (wa pili kulia), akibadilishana namba za simu na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, Issack Kabugu.
Mzee Selemani Kereba akiteta jambo na Mwandishi wa Blog ya Mpiganaji Nyakasagani Masenza (kulia)

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru