Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Tuesday, February 14, 2017

YANGA WAREJEA BAADA YA KUFANYA MAUAJI

 Picha mbalimbali zikiwaonyesha mashabiki wa Klabu ya Yanga wakicheza wakati wachezaji wa klabu hiyo walipokuwa wakiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam leo, baada ya kufanya mauaji nchini Comoro kwa kuifunga klabu ya Ngaya 5-0.


No comments:

Post a Comment