Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, February 27, 2017

YOWERI MUSEVENI AREJEA UGANDA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na mgeni wake Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, aliyerejea nchini kwake baada ya ziara ya kikazi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) na mgeni wake Yoweri Kaguta Museveni, wakati wa nyimbo za Mataifa ya Tanzania na Uganda
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa wakifurahia jambo baada ya kumsindikiza Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, aliyekuwa nchini
 "Kwa heri na karibu tena Tanzania", ndivyo anavyosema Rais John Magufuli baada ya kumsindikiza mgeni wake Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.
"Kwaheri Mama", Rais wa Uganda Yoweri Museveni akiagana na Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

1 comment:

  1. Kwaheri Kabuta, ni imani ziara yako itakua ya manufaa kwa wa Tz na Ug.
    Ila pia mzee wetu tunakuomba ufikirie kung'atuka

    ReplyDelete