Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, March 23, 2017

NAPE NNAUYE AISIMAMISHA NCHI KWA MUDA

 Nape akionesha dole baada ya kuzungumza na wanahabari

  Aliyekuwa Waziri wa Habari, Nape Nnauye akizungumza na Wana habari nje ya Hoteli ya Protea, Dar es Salaam leo, kuhusu wadhifa wake huo kutenguliwa na Rais JOhn Magufuli. Mmoja wa maofisa usalama alimtishia kwa silaha kumlazimisha kurudi kwenye gari ili asizungumze na wanahabari
  Kamanda wa Polisi Kinondini, Suzan Kaganda akiwasili kwenye mkutana wa wanahabari na Nape
No comments:

Post a Comment