Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, March 1, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA MAJIVU DAR

 Rais Dkt. John Pombe Magufuli (kulia), Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, wakisali Ibada ya Jumatano ya Majivu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtatifu Petro, Oysterbay Dar es Salaam leo.
  Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Rais Mstaafu Benjamin Wiliam Mkapa, wakiwatakia heri Masista wa Kanisa Katoliki, wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtatifu Petro, Oysterbay Dar es Salaam leo..
 Paroko Msaidizi wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro, Father Asis akimpaka majivu kichwani Rais Dkt. Magufuli wakati wa Ibada hiyo.
  Paroko Msaidizi wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro, Father Asis akimpaka majivu kichwani Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli.
  Paroko Msaidizi wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro, Father Asis akimpaka majivu kichwani Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.
Rais Dkt. John Magufuli akiteta jambo na Rais Mstaafu, Mkapa.

No comments:

Post a Comment