Analog Clock

NSSF

NSSF
NSSF TANGAZO

Tone Radio Tz

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, March 11, 2017

YANGA KUWAPA RAHA WATANZANIA LEO

 Kikosi Kamili cha wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika Yanga ambao pia ni Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara (pichani juu), kinashuka katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo mchana huu kuonyeshana kazi na ZANACO kutoka Zambia.

Mchezaji wa Yanga aliyekuwa nje ya kikosi hicho kwa muda mrefu kutokana na majeruhi, Donald Ngoma, anaanza kukipiga leo dhidi ya Zanaco huku matumaini ya wana Jangwani leo yakielekezwa kwa Ngoma ambaye kukosekana kwake katika safu ya ushambuliaji kumetajwa kuwa kuliipunguzia ushindi Yanga. 
 Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ndgoma
Haruna Niyonzima na Amisi Tambwe,

No comments:

Post a Comment