DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI NA KAMISHNA MKUU TRA IKULU DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimuapisha, Dkt. Leonard Akwilapo (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ikulu Dar es Salaam leo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimuapisha, Profesa Kitila Alexander Mkumbo, kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Ikulu Dar es Salaam leo.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimuapisha, kt. Ave Maria Semakafu kuwa Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ikulu Dar es Salaam leo.
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Sylvester Ambakile Mwakinyuke, kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini, Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha, Bw. Baraka Luvanda, kuwa Balozi wa Tanzania Nchini India, Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akimuapisha Bw. Charles Edward Kichere. kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Ikulu Dar es Salaam leo.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru