UJENZI WA BARABARA KUUNGANISHA MUSOMA, NYAMUSWA, SERENGETI UNAENDELEA KWA KASI

 Picha mbalimbali zikionyesha kasi ya ujenzi wa barabara ya kisasa kwa kiwango cha lami ukiendelea katika mji mdogo wa Nyamuswa Wilayani Bunda, mkoani Mara. Barabara hiyo inajengwa kutoka Makutano hadi Ikoma Serengeti.
 Hii ni sehemu ya Komong'we Nyamuswa, ambapo watu hukutana kwa ajili ya majadiliano na mikutano ya kisiasa.
 Barabara inayoka Makao Makuu ya Wilaya ya Bunda kuekea Nyamuswa, umbali wa kilomita 20, ambayo ujenzi wake umenzia Kisorya, kama inavyoonekana katika picha hii.

 Barabara ya Musoma, Nyamuswa hadi Serengeti, ambayo ujenzi wake unaendelea kwa kasi.
Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru