ODINGA AHAMASISHA WAKENYA KUGOMA


Raila Jaramog Odinga, Aliyekuwa Mgombea Urais wa Kenya na kushindwa katika Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo, amewataka Wakenya wanaomuunga mkono, kuungana naye katika Madai yake kwa kugoma kwenda kazini leo ili Kesho Jumanne awaeleze jinsi  alivyoibiwa kura katika Uchaguzi huo. 

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU