Profesa Majimarefu asikitikia maji ya bomba

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Bw. Stephen Ngonyani 'Profesa Majimarefu' (katikati), akitazama bomba linalotoa maji bila kufungwa kwa kipindi cha mwezi mmoja baada ya 'koki' yake kuharibika. Profesa Majimarefu alitoa fedha ili lifanyiwe matengenezo ambayo hayakufanyika. Wengine ni Mwenyekiti wa Wazazi  Bw. Sadick Kimbwaimbwai (kulia) na Katibu wa UVCCM mkoa wa Tanga, Bw. Acheni.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU