Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Bw. Mohamed Aboud (Pichani), amesema, tume iliyoundwa na serikali ikibainisha uzembe kwa watumishi wa serikali, wahusika watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Unguja leo, Waziri Aboud amesema serikali imesikitishwa sana na tuki hilo na kuahidi kulifuatilia kwa karibu ili kubaini nani walihusika kufanya uzembe uliopelekea kutoke kwa ajali hiyo mbaya

Comments
Post a Comment