Wachezaji wa Yanga walivyoshangilia bao

 Kocha wa Yanga Kostadic Papic akishangilia pamoja na wachezaji wake baada ya Devis Mwape kufunga bao la ushindi dhidi ya Simba jana.
 Mfungaji wa bao la Yanga Devis Mwape (kushoto) akishangilia bao pamoja na Keneth Assamoh
 Mashabiki wa Yanga wakishangilia kwa furaha baada ya Devis Mwape kuia Simba dakika ya 72 jana.
 Mashabiki wa Simba wakiwa hawaamini kilichotokea Uwanja wa Taifa, baada ya timu yao kufungwa bao 1-0 na Yanga, Dar es Salaam jana.
Wachezaji wa Yanga na Kocha wao Papic wakiwapungia mashabiki wao baada ya kuwafunga Simba bao 1-0, Dar es Salaam jana.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU