Yanga ilivyokata ngebe za Simba

 Wachezaji wa Yanga Haruna Niyonzima (kushoto) na Nurdin Bakari wakiingia uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana kuanza kuendelea na pambano dhidi ya Simba, baada ya kwenda mapumziko bila kufungana.
 Mlinzi wa Yanga Oscar Joshua akichuana na kiungo wa Simba
 Hamisi Kiiza ya Yanga (kulia) akichuana na Victa Costa wa Simba
 Juma Nyoso wa Simba (kulia) akimchunga mshambuliaji wa Yanga Devis Mwape
Hatari katika lango la Simba, Devis Mwape akijaribu kuutengeneza mpira uliopigwa na Keneth Assamoh

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU