Benki ya Exim Tanzania yawapiga jeki watoto yatima wa Djibouti

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Exim Tanzania, Bw. Yogesh Manek (kulia), akishikana mikono na Mke wa Rais wa Djibouti, Mama Kadra Mahamoud, baada ya kukabidhi mfano wa hundi ya fedha za Djibouti sh. mil moja, kama mchango kusaidia vituo vya kulelea Watoto yatima, wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo nchini humo hivi karibuni.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU