Muuza mishikaki aliyefahamika kwa jina moja la Bw. Miraji, alikutwa na kamera yetu, kando ya Reli ya Kati, eneo la Karakata Dar es Salaam akiwa amezungukwa na wakazi wa eneo hilo wakinunua mishikaki wakati wakisherehekea sikukuu ya Krismasi juzi.
Kutokana na joto kali Jijini Dar es Salaam, Mchina huyu alikutwa na kamera yetu kando ya Soko la Kisutu, Dar es Salaam juzi, akinywa maji ya madafu na kujaribu kukwepa ili asipigwa picha
Kutokana na joto kali Jijini Dar es Salaam, Mchina huyu alikutwa na kamera yetu kando ya Soko la Kisutu, Dar es Salaam juzi, akinywa maji ya madafu na kujaribu kukwepa ili asipigwa picha
Comments
Post a Comment