Maadhimisho miaka 50 ya Uhuru yalivyofana Dar

 Rais Jakaya Kikwete akiwa amesimama kwa ajili ya kupokea heshima ya kupigiwa mizinga mitano kama ishara ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Dar es Salaam juzi
 Rais Kikwete akipita kikosi cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ gadi ya wanawake
                                   
                 Rais Kikwete akikagua gadi ya askari wa Magereza wanawake
Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakitoa heshima kwa Rais Kikwete
 Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT wakitoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Kikwete

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU