WAZIRI MKUU MSTAAFU, MHE. EDWARD NGOYAI LOWASA, MBUNGE WA MONDULI, MKOANI ARUSHA, AKIWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA SONGEA LEO, KWA AJILI YA KUSHIRIKI SHEREHE ZA MIAKA 38 YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM). KUSHOTO NI MWANDISHI WAKE, ABAKARY LIONGO
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA, BW. HAMISI MGEJA AKISALIMIANA NA LOWASA BAADA YA KUWASILI MJINI SONGEA LEO
VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI WAKIMPOKEA MHE. LOWASA UWANJA WA NDEGE
LOWASA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BAADHI YA WANA CCM WA MKOA WA RUVUMA, WALIOFIKA UWANJA WA NDEGE WA SONGEA LEO KWA AJILI YA KUMPOKEA
MKUU WA WILAYA YA SONGEA MJINI, BW. JOSEPH MKIRIKITI AKIMUONYESHA MHE. LOWASA SEHEMU YA KUPITA BAADA YA KUWASILI UWANJA WA NDEGE SONGEA LEO.
MHE. LOWASA AKISALIMIA NA MWANA CCM MWENYE ULEMAVU WA NGOZI
MHE. LOWASA AKISALIMIA, MKURUGENZI WA MAJEMBE ACTION MART NA BW. SETH MOTO
MHE. LOWASA AKIPUNGA MKONO KUWASALIMIA WANANCHI WALIOFIKA UWANJA WA NDEGE WA SONGEA, ALIPOWASILI LEO KWA AJILI YA KUSHIRIKI SHEREHE ZA MIAKA 38 YA CHAMA CHA MAPINDUZI
BRIGEDIA JENERALI MWITA WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA AKIJIANDAA KUMSALIMIA MHE. LOWASA MJINI SONGEA LEO.

Comments
Post a Comment