Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), Makame Mwadini
akikabidhi Kombe la Ubingwa wa Bonaza la Pasaka kwa Nahodha wa timu ya Soka ya
NSSF Tanzania Bara, Mzee Mwinyi, baada ya kuwafunga ZSSF kwa peneti 4-3 kwenye
Uwanja wa Aman Visiwani Zanzibar. Kushoto ni Kamu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,
Chiku Matesa.
Wachezaji na
Viongzi wa timu ya Soka ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
wakishangilia baada ya kutwaa kombe kwa kuwafunga wapinzani wao jadi ZSSF kwa
mikwaju ya penati 4-3 na kutwaa kombe la Bonanza la Pasaka 2015 kwenye uwanja
wa Aman, Visiwani Zanzibar
Comments
Post a Comment