MKUTANO WA 42 WA WANA HISA TBL WAFANYIKA DAR

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu wa zamani Bw. Cleopa David Msuya akisoma ripoti ya mwaka 2015, wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa Wana hisa wa kampuni hiyo uliofanyika Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Tanzania, Bw. Robert Jaran
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Robert Jaran (kushoto), akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa Wana hisa uliofanyika Dar es Salaam. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TBL, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya, Katibu, Bw. Huruma Ntahena na Mkurugenzi wa fedha TBL, Bw. Kenn O'flahenty.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (katikati), akifafanua jambo, wakati wa Mkutano Mkuu 42 wa Wana Hisa wa kampuni hiyo. Kushoto ni Mkuregenzi Mtendaji wa TBL, Bw. Robert Jaran na Katibu Bw. Huruma Ntahena.
Baadhi ya Wana hisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TBL, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa wana hisa hao uliofanyika Dar es Salaam leo.

Msuya (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam Dar es Salaam leo, baada ya Mkutano Mkuu 42 wa Wana Hisa wa kampuni hiyo. Kushoto ni Mkuregenzi Mtendaji wa TBL, Bw. Robert Jaran na Katibu Bw. Huruma Ntahena.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU