MAKOMANDOO JWTZ WAACHA GUMZO MIAKA 55 YA UHURU

 Makomandoo wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakionyesha uwezo wa kupambana na adui wa aina yeyote, wakati wa maadhimisho ya miaka 55 ya sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
 Makomandoo wa JWTZ wakitoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
 Komandoo wa JWTZ  akijiandaa kuvunja tofali kwa kutimia mkono mmoja, wakati wa maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
 Wakionyesha namna wanavyoweza kukabiliana na adui kwa mikono na miguu bila kuwa na silaha za moto
 Komandoo wa JWTZ akionyesha uwezo wa kupambana na adui zaidi ya mmoja, kama anavyoonekana katika picha hii akiwa ameruka juu sana.
 Hizi ni mojawapo ya mbinu wanazotumia Komandoo wakati wa kupambana na adui bila kuwa na silaha za moto.
 Kila mmoja akionyesha jinsi anavyoweza kutumia mikono na miguu wakati wa kumkabiri adui kwa vitendo.
 Hapa Komandoo akiwa ameruka juu zaidi kuonyesha uwezo wake
 Mchakamchaka, Makomandoo wakipita kutoa heshima kwa Rais
 Hapa Makomandoo wa JWTZ wakionyesha mbinu zingine za kupambana na adui bila kuwa na silaha
 Hapa Komandoo wa JWTZ akiwaruka askari wengine watatu na kulipiga tofali lililokusudiwa
 Kikosi kizima cha Makmandoo wa JWTZ kipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Magufuli.
 Kikosi cha askari wa miguu nacho kikipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Magufuli kutoa heshima ya utii
Kikosi maalumu cha JWTZ kilichovutia wengi baada ya kufanya maonyesho yao  kimya kimya mbele ya Amiri Jeshi Mkuu

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU