JPM ALIVYOMUAPISHA JAJI MKUU WA TANZANIA

 Picha za matukio mbalimbali zikimuonyesha Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahimu Hamisi Juma, kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Ikulu Dar es Salaam jana. Profesa Ibrahimu alikuwa Kaimu Jaji Mkuu baada ya kustaafu kwa aliyekuwa Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman.







Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU