Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

 Gari la Jeshi likipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaye Kikwete likiwa limebeba Kifaru cha kisasa kilichofungwa makombora kwa ajili ya kutungua ndege za adui
 Kifaru kikipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Kikwete kikiwa na mkonga wa kurusha makombora

 Kifari kinachotumia minyororo kwa ajili ya kukabiliana na adui kikipita mbele ya Rais
 Hili ni moja ya magari ya kisasa kwa ajili ya vita likipita mbele ya Rais Kikwete
Gari la kisasa lenye rada kwa ajili ya askari wa Majini NAV, likipita wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU