Baada ya kufanikiwa kuifunga timu ya Taifa ya Chad nyumba kwao Jumamosi iliyopita, timu ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', inashuka kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo ikiwa na matumaini makubwa ya kusonga mbele.
Katika mchezp wa kwanza uliochezwa nchini Chad, Stars ilifanikiwa kuilaza timu hiyo kwa mabo 2-1, mabao ya Tanzania yakifungwa na Mrisho Ngassa kipindi cha kwanza na Nurdin Bakari, akaihakikishia timu hiyo ushindi kipindi cha pili na kuwafanya wachezaji hao kuingia uwanjani leo wakiwa kifua mbele.
Kocha Mkuu wa Stars Jan Paulsen tayari ametangaza kikosi cha mauaji kitakachoanza kupeperusha bendera ya Tanzania dhidi ya Chad, uwanja wa Taifa leo, ambapo mashabiki wamehamasishwa kufika kwa wingi ili kuishangilia Stars.
Kikosi cha Tanzania Taifa Stars:
Juma Kaseja (1)
Shomari Kapombe (2)
Idrissa Rajab (15)
Juma Nyosso (4)
Aggrey Morris (6)
Shabani Nditi (19)
Thomas Ulimwengu (20)
Henry Joseph (17)
Mbwana Samata (10)
Nizar Khalfan (16)
Mrisho Ngassa (8)
Kwenye benchi watakuwepo
Mwadini Ally (18)
Erasto Nyoni (12)
Hussein Javu (23)
Mohamed Rajab (11)
Ramadhan Chombo (21)
Abdi Kassim (13)
Nurdin Bakari (5)
John Bocco (9)
Juma Jabu (3)
Godfrey Taita (7)
Timu ya taifa ya Chad (Tentatively line up)
Brice Mabaya (1)
Sylvain Doubam (5)
Massama Asselmo (15)
Armand Djerabe (4)
Yaya Karim (2)
Herman Doumnan (6)
Ferdinand Gassina (17)
Ahmat Mahamat Labo (10)
Ezechiel Ndouassel (11)
Hassan Hissen Hassan (7)
Dany Karl Marx (9)
Kwenye benchi ni:
Cesar Abaya (12)
Wadar Igor (13)
David Mbaihouloum (8)
Dillah Mbairamadji (16)
Djingabeye Appolinare (3)
Rodrigue Casmir Ninga (18)
Mahamat Habib (14)
Marius Mbaiam (
Abakar Adoum (
Jules Hamidou (
Ekiang Moumine (
Kwa mjibu wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF.

Comments
Post a Comment