Walioiba samaki wa magufuli wafungwa jela miaka 20

Watuhumiwa wa kesi ya wizi wa samaki kinyume cha sheria eneo la Tanzania Hsui Chin Tai (kushoto) na  Zhao Hinguin wakitolewa Mahakama Kuu Tanzania Kitengo cha  Biashara,  Dar es Salaam leo, wakiwa chini ya ulinzi baada ya kutiwa hatiani na kufungwa jela miaka 20 au kulipa faini ya Sh.Bilioni 1 na Milioni. 20.  Wengine wameachiwa huru

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU